Ufaransa yasema Iran ifikie suluhu ya nyuklia haraka
Taarifa hiyo imekuja baada ya mazungumzo ya simu kati yake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, wakishirikiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David…
Taarifa hiyo imekuja baada ya mazungumzo ya simu kati yake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, wakishirikiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David…
Zelensky pia ametoa wito kwa washirika wa Ukraine kuiwekea Urusi vikwazo vipya kama haitoonesha dhamira ya kweli ya kusitisha uvamizi wake Ukraine. Rais huyo wa Ukraine aliyekuwa akizungumza katika mkutano…
Hii ni baada ya ripoti ya tathmini ya Usalama wa upatikanaji wa Chakula, IPC, kutangaza baa la njaa katika ukanda huo. Radovan amesema ripoti hiyo inayoungwa mkono na Umoja wa…
Wanadiplomasia wa Iran wanatarajiwa kukutana na wenzao wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kwamazungumzo ya mpango wa nyuklia wa Tehran, wakati mataifa hayo yakizingatia kurejesha vikwazo dhidi ya nchi hiyo. Waziri…
Kauli hiyo ya Uingereza ilitolewa siku ya Ijumaa (Agosti 22) na Waziri wa Mambo ya Kigeni, David Lammy, ambaye alilaani kile alichokiita “uovu wa kimaadili na janga la kutengezwa na…
Kuanzia Jumatatu hadi Jumatano, karibu watu wanane wamepoteza maisha katika mapigano yaliyotokea kwenye baadhi ya vijiji vya wilaya ya Mwenga, vinavyopakana na wilaya ya Uvira, hali iliyoongeza wasiwasi kwa wakaazi…
Janga la COVID-19 limechochea harakati mpya barani Afrika za kujitegemea katika uzalishaji wa dawa na chanjo ili kupunguza utegemezi mkubwa wa uagizaji kutoka nje. Upungufu na usambazaji usio sawa wa…
Taarifa kutoka kituo cha televisheni cha nchini humo, Ada Derana, zinasema Rais wa zamani wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe amekamatwa na Idara ya Uchunguzi wa Jinai (CID) kuhusiana na madai…
Malalamiko yamezidi kuibuliwa na wavuvi ziwani humo juu ya unyanyasaji dhidi ya wavuvi wa Kenya unaofanywa na maafisa wa usalama wa Uganda. Takriban wiki tatu zilizopita, Kenya na Uganda zilisaini…
Mataifa hayo matatu makubwa ya Ulaya awali yalitishia kuirejeshea Iran vikwazo ilivyowekewa na Umoja wa Mataifa, iwapo Jamhuri hiyo ya Kiislamu haitorejea tena katika meza ya mazungumzo kuhusu mpango wake…