Ripoti: Jeshi la Sudan lilitumia silaha za kemikali
Ripoti za vyombo vya habari zilizotolewa leo, zinaonyesha kuwa jeshi la Sudan lilitumia gesi ya klorini katika mashambulizi mawili mwaka 2024, kaskazini mwa mji mkuu, Khartoum.
Ripoti za vyombo vya habari zilizotolewa leo, zinaonyesha kuwa jeshi la Sudan lilitumia gesi ya klorini katika mashambulizi mawili mwaka 2024, kaskazini mwa mji mkuu, Khartoum.
Mwandishi wa vitabu kutoka Hungary, László Krasznahorkai ameshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi kwa mwaka 2025.
Umoja wa Mataifa utaanza kupunguza vikosi vyake vya kulinda amani na operesheni zake na kuwalazimu maelfu ya wanajeshi kuondoka katika maeneo mbalimbali ya migogoro duniani katika miezi michache ijayo.
Mpira wa miguu unachukua mwelekeo mpya sasa baada ya vilabu kuanza kulipwa ili kucheza mechi zake za ligi ya ndani katika mataifa ya nje.
Rais Felix Tshisekedi ametoa wito wa amani kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame, akimtaka aache kuunga mkono waasi na kushirikiana kwa ajili ya amani ya kikanda.
Mpango wa mwaka 1903 wa Uingereza kuanzisha taifa la Wayahudi Afrika Mashariki kwa kuwanyang’anya wenyeji ardhi yao ya mababu haukutekelezwa, lakini uliweka msingi wa fikra potofu za ukoloni ambazo sasa…
Kuongezeka kwa ghasia kunazidisha mzozo wa kibinadamu kwa watoto katika taifa zima la Caribbean.
Eritrea imepinga vikali tuhuma za Ethiopia kuwa inajiandaa kuanzisha vita, ikizitaja kama “uchochezi wa kivita” unaolenga kuibua mgogoro mpya katika Pembe ya Afrika.
Sakata la kutoweka kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, limeingia katika hatua mpya. Hii ni baada ya Wakili kuwasilisha ombi kuitaka serikali imfikishe Polepole mahakamani mara moja.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amezitaka pande zote kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa kati ya Israel na Hamas katika awamu ya kwanza ya mpango wa amani wa Gaza unaoungwa…