Zelensky: Urusi inataka kusababisha machafuko Ukraine
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameituhumu Urusi kwa kutaka kusababisha machafuko nchini Ukraine, kutokana na kuishambulia miundombinu ya gridi ya taifa ya nishati na reli.
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameituhumu Urusi kwa kutaka kusababisha machafuko nchini Ukraine, kutokana na kuishambulia miundombinu ya gridi ya taifa ya nishati na reli.
Eritrea imepuuzilia mbali shutuma zilizotolewa na Ethiopia kwamba nchi hiyo inajiandaa kuanzisha vita ikisema ni ''matamshi ya uchochezi''.
Umoja wa Mataifa utalazimika kupunguza vikosi vyake vya kulinda amani duniani kote kwa takribani asilimia 25 kutokana na kukosekana fedha.
Vuguvugu linaloongozwa na vijana ambalo limekuwa likiandaa maandamano ya kupinga serikali kwa takriban wiki mbili nchini Madagascar limekataa kufanya mazungumzo na Rais Andry Rajoelina.
Mataifa kadhaa yamepongeza makubaliano ya kuvimaliza vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza, baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kusema wawakilishi wa Israel na wa Kipalestina wamesaini awamu ya…
Watu 13 wameuawa katika shambulizi la RSF nchini Sudan, baada ya wanamgambo hao kuushambulia msikiti uliokuwa unatumika kuwahifadhi watu wasio na makaazi katika mji wa El-Fasher.
Matamshi ya rais wa Marekani yamekuja kwa njia ya simu na familia za mateka kufuatia tangazo la makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza kati ya Israel na Hamas.
Tanzania imekuwa ni nchi ya hivi karibuni kuingizwa katika orodha ya nchi ambazo raia wake wamewekewa masharti ya dhamana ya viza.
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameeleza kufurahishwa na makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Hamas na Israel huko Gaza kufuatia mazungumzo yaliyoandaliwa Sharm el-Sheikh akisisitiza kuwa nchi yake imechangia…
Hamas itawaachia huru mateka 20 wa Israel na karibu wafungwa 2,000 wa Kipalestina kuachiwa huru kama sehemu ya awamu ya kwanza ya makubaliano hayo.