Samia: Najivunia kumuenzi Magufuli kwa vitendo
Baada ya mkutano huo wa kampeni, Rais Samia alizuru kaburi la Magufuli ambako aliwasha mshumaa, alishiriki sala fupi ya kumuombea na kuweka shada la maua.
Baada ya mkutano huo wa kampeni, Rais Samia alizuru kaburi la Magufuli ambako aliwasha mshumaa, alishiriki sala fupi ya kumuombea na kuweka shada la maua.
Wamejikuta katikati ya mzozo na athari za tabianchi, jamii za waliopoteza makazi yao Sudan Kusini zinajikuta zikikabiliana na vurugu, mafuriko na kukosa misaada ya kutosha
Deni la taifa la Marekani limevuka viwango vya kihistoria - na baadhi ya wachambuzi wanaonya nchi hiyo hivi karibuni inaweza kutegemea akiba yake ya dhahabu kwa ukombozi.
Karibu watu 14 wamefariki dunia kufuatia kuporomoka kwa mgodi huko El Callao, Venezuela baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo la kusini mashariki.
Marais wa zamani wa Marekani Joe Biden na Bill Clinton wamechukua hatua nadra ya kumsifu Rais Donald Trump kwa kusaidia katika usitishwaji wa vita vya Gaza.
Iran imesema Jumanne kuwa wito wa rais wa Marekani Donald Trump wa amani na Iran haulingani na vitendo vya Washington, ikiashiria yale mashambulizi ya Marekani katika vinu vyake vya nyuklia…
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Issa Tchiroma Bakary amedai kushinda uchaguzi leo dhidi ya Rais Paul Biya aliye madarakani kwa miaka 43 sasa.
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amelivunja bunge la nchi hiyo.
Mashindano ya mashua yaliyofanyika yaliisha kwa msiba Ijumaa iliyopita jioni wakati mashua iliyokuwa imebeba washiriki ilipopinduka.
Mnamo Septemba, Ethiopia na Urusi zilitia saini mpango wa utekelezaji wa kuendeleza mradi wa nishati ya nyuklia nchini Ethiopia.