‘Sura mpya kwa amani’ — Dunia inajibu baada ya kusaini hati rasmi ya kumaliza vita vya Gaza
Viongozi wa kimataifa wameitikia kwa furaha kusainiwa kwa mkutano wa Sharm El-Sheikh.
Viongozi wa kimataifa wameitikia kwa furaha kusainiwa kwa mkutano wa Sharm El-Sheikh.
Takriban watu 300,000 wa Sudan Kusini wameikimbia nchi mwaka 2025, hasa kutokana na kuongezeka kwa migogoro, Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu ilisema Jumatatu.
Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wamewauwa watu 19 katika shambulio la usiku moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na kuzidisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo lenye…
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amerudisha nyuma hotuba yake ya kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu, na hivyo kuzidisha sintofahamu juu ya mahali alipo baada ya siku kadhaa za maandamano…
Wapiganaji wa ADF wanaohusishwa na Dola la Kiislamu wameua watu 19 mashariki mwa DRC, wakachoma nyumba na maduka, huku mamia ya wakazi wakikimbia makazi yao katika eneo la Lubero.
Donald Trump na viongozi wa Mashariki ya Kati wametia saini tamko la Gaza nchini Misri, hatua iliyopelekea kubadilishana kwa mateka na wafungwa kati ya Israel na Hamas, na kuzua matumaini…
China imesema iko tayari “kupambanaa hadi mwisho” katika vita vya kibiashara na Marekani, baada ya Rais Donald Trump kutangaza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zote za China, hatua iliyotikisa…
Rais Donald Trump amethibitisha kuwa atamkaribisha Volodymyr Zelenskiy White House Ijumaa hii kujadili msaada wa kijeshi na makombora ya Tomahawk, huku Urusi ikionya kuwa hatua hiyo ni uchokozi mkubwa dhidi…
Mwanasheria mkuu wa New York Letitia James, aliyeshtakiwa na utawala wa Trump, ameapa kutonyamaza huku akimuunga mkono mgombea meya Zohran Mamdani, akisema haogopi mtu yeyote wala vitisho vya kisiasa.
Venezuela imetangaza kufunga balozi zake nchini Norway na Australia, na kufungua mpya katika mataifa ya Burkina Faso na Zimbabwe, ikisema ni sehemu ya “mabadiliko ya kimkakati” ya huduma za kidiplomasia.