Azimio la la Gaza latoa wito wa uvumilivu, heshima na ustawi wa pamoja
Erdogan, Trump, Sisi, na Sheikh Tamim wamesaini nchini Misri azimio la kumaliza vita vya Gaza, wakati wa Mkutano wa Amani wa Sharm el-Sheikh.
Erdogan, Trump, Sisi, na Sheikh Tamim wamesaini nchini Misri azimio la kumaliza vita vya Gaza, wakati wa Mkutano wa Amani wa Sharm el-Sheikh.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, "hajawahi kutuangusha," akimtaja kama "mtu wa kipekee" na akamshukuru kwa urafiki wao wa muda mrefu.
Cape Verde iliichapa Eswatini mabao 3-0 siku ya Jumatatu na kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026, hatua inayoiwezesha kushiriki mashindano hayo ya kimataifa kwa mara ya kwanza kabisa katika…
Rais wa Marekani Trump anapongeza "siku kubwa kwa Mashariki ya Kati" wakati yeye na viongozi wa eneo hilo wakitia saini azimio la kusitisha mapigano Gaza baada ya mabadilishano ya wafungwa…
Maafisa wa ngazi za juu wa Ukraine na Marekani watajadili kuhusu ulinzi wakati Urusi imeongeza mashambulizi dhidi ya miundo mbinu ya nishati ya Ukraine
Israel imewaachia huru wafungwa kadhaa wakipalestina chini ya mpango wa makubaliano ya usitishaji vita Gaza
Viongozi wanakutana Sharm el Sheikh, Misri kujadili mustakabali wa Gaza baada ya vita vya miaka miwili kuliharibu kabisa eneo hilo
Rais huyo wa Marekani ameipongeza Israel kwa ushindi katika uwanja wa vita dhidi ya Hamas, Hezbollah na Iran
Patrick Herminie alikuwa mwanachama wa People's Party, aligombea katika uchaguzi wa urais wa 2025 kama mgombeaji wa United Seychelles.
Rajoelina, ambaye hajaonekana hadharani tangu Jumatano, alisema mwishoni mwa wiki kuwa kulikuwa na "njama ya kuchukua madaraka kinyume cha sheria."