Watanzania waaswa kuepuka vurugu kuelekea uchaguzi mkuu
Serikali kupitia vyombo vyake vya dola, imewatahadharisha wananchi dhidi ya kujihusisha na vitendo ambavyo vinaweza kuvunja amani, huku ikiahidi kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaobainika kufanya hivyo.