Trump awasili Israel kabla ya mkutano wa amani Misri
Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Israel kukutana na familia za mateka na kuhutubia bunge la Knesset kabla ya kuelekea Misri kuhudhuria mkutano wa amani kuhusu vita vya Gaza.
Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Israel kukutana na familia za mateka na kuhutubia bunge la Knesset kabla ya kuelekea Misri kuhudhuria mkutano wa amani kuhusu vita vya Gaza.
Droni ya Ukraine imeshambulia ghala la mafuta katika mji wa Feodosia, mashariki mwa Crimea, na kusababisha moto mkubwa, afisa wa Urusi Sergei Aksyonov amesema.
Raia wa Cameroon walipiga kura Jumapili katika uchaguzi unaotarajiwa kumrejesha madarakani Rais Paul Biya mwenye miaka 92, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miongo minne.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza serikali mpya yenye mchanganyiko wa sura mpya na za zamani chini ya Waziri Mkuu Sebastien Lecornu, hatua inayolenga kuokoa taifa hilo lililogawanyika.
Zaidi ya viongozi 20 wa dunia watarajia kushiriki katika mkutano huo, ambao utaongozwa na Sisi na Trump, wakati Hamas na Israeli hawarajiwi kushiriki.
Hatua hiyo imekuja saa chache kabla ya mkutano wa kilele wa amani kuhusu usitishaji vita wa Gaza ambao utafanyika katika mji wa Sharm el-Sheikh nchini Misri.
Erdogan pia alithibitisha kujitolea kwa Uturuki kuwezesha amani kati ya Urusi na Ukraine.
Jenerali Demosthene Pikulas ateuliwa baada ya kikosi chake cha kijeshi kuungana na waandamanaji wanaomtaka Rais Rajoelina ajiuzulu.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameitaka jumuiya ya kimataifa ichukue hatua baada ya nchi yake kushambuliwa na Urusi zaidi ya mara 4000 kutokea angani kwa muda wa wiki nzima.
Maandalizi kwa ajili ya kuingizwa misaada katika Ukanda wa Gaza yanaendelea baada ya kufikiwa makubaliano mapya ya kusimamisha mapigano.