🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 04, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 04, 2025
“Serikali imehakikisha pato la Mwananchi linainuka” Dr Siriel Mchembe – Mchumi na Mhadhiri IFM
"Serikali imehakikisha pato la Mwananchi linainuka" Dr Siriel Mchembe - Mchumi na Mhadhiri IFM Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa,…
“Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia sio tu Tanzania kujitosheleza kwa kilimo, bali sasa tuna akiba ya chakula kwa miezi minne, maan…
"Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia sio tu Tanzania kujitosheleza kwa kilimo, bali sasa tuna akiba ya chakula kwa miezi minne, maana yake ni kwamba kama Watanzania hatutavuna tuna uwezo wa…
“REA wamepeleka nguzo za umeme hadi maporini unakwenda Vijijini huko unakutana na Transformer kwa sababu wameona kunamtu ameweka…
"REA wamepeleka nguzo za umeme hadi maporini unakwenda Vijijini huko unakutana na Transformer kwa sababu wameona kunamtu ameweka msingi wamepeleka umeme mpaka pale msingi ulipo, nchi hii tunafanya analysis Vijiji…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 03, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 03, OKTOBA 2025
“Nchi yoyote ikiwa haina amani huwezi kuamka asubuhi ukaenda kazini, huwezi kufanya biashara, kwa hiyo duniani kote unakoona jam…
"Nchi yoyote ikiwa haina amani huwezi kuamka asubuhi ukaenda kazini, huwezi kufanya biashara, kwa hiyo duniani kote unakoona jambo la kwanza wanapigania Amani" Deodatus Balile - Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri…
#HABARI: Mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Majalio Kyara…
#HABARI: Mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Majalio Kyara, ameahidi kumaliza changamoto ya upatikanaji wa soko la…
#HABARI: Viongozi wa upinzani nchini Kenya wakiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gacha…
#HABARI: Viongozi wa upinzani nchini Kenya wakiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua na Eugene Wamalwa, wameikosoa serikali kutokana na kile walichokitaja kama unyakuzi…
“Ninajua mawasiliano ya simu katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Hanang siyo mazuri kabisa, serikali tunalijua hilo, ila tunaji…
"Ninajua mawasiliano ya simu katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Hanang siyo mazuri kabisa, serikali tunalijua hilo, ila tunajipanga kujenga minara mitano ya mawasiliano ili mawasiliano yawe sawasawa, tunajua…