🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
#KIPIMAJOTO: Kuharibu Miundombinu ya Umma kutokana na huduma mbovu. Je, ni suluhisho la tatizo?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 03, 2025
"Kuna kazi nyingine sio mpaka mtu awe na Skills husika, kwa mfano sasa kubeba zege haitahitaji lazima umesomea kubeba zege, kwa hiyo kila mwananchi atanufaika kulingana na kiwango cha elimu…
#HABARI: Kampuni inayotoa huduma za kifedha kwa njia ya simu Mix By Yas imesema kampeni yake kila hatua Mix By Yas, imekuwa ya mafanikio makubwa kwa wafanyabiashara na wakulima wa…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 02, OKTOBA 2025
"Kunakuwa na Mlundikano wa vijana wanalalamika, hamna ajira ni uvivu wa kufikiria wa vijana wengi tuliokuwa nao, tunailaumu sana serikali lakini hatujitoi, we unamtandao wa kijamii unashinda huko siku nzima"-Tamira…
"Sasa hivi vijana wengi tunatumia mitandao ya kijamii vibaya, badala ya kuigeuza mitandao hiyo kama sehemu ya kupata fursa"-Tamira Kipeleka - Mshiriki #MALUMBANO Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO…
#HABARI: Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema maboresho makubwa yamefanyika katika Kiwanja cha Ndege cha Arusha, na…