Popat: Fedha za maandalizi CAF zinatusaidia sana
Makamu wa Rais wa Azam FC, Abdulkarim Mohamedamin Nurdin 'Popat' amethibitisha kwamba klabu yao imeanza kupokea mgao wa gharama za maandalizi kwenye mechi za hatua ya awali ya mashindano ya…
Makamu wa Rais wa Azam FC, Abdulkarim Mohamedamin Nurdin 'Popat' amethibitisha kwamba klabu yao imeanza kupokea mgao wa gharama za maandalizi kwenye mechi za hatua ya awali ya mashindano ya…
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amesema wakati anaanza kuiongoza klabu hiyo, wengi hawakumuamini kutokana na umri wake mdogo.
Mchakato usikilizwaji wa kesi ya madai inayolikabili Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi akihoji uhalali wa kanuni za maadili zilizotumika kumuadhibu kifungo cha maisha…
Klabu ya Yanga, imemtangaza Patrick Mabedi raia wa Malawi kuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho kinachoongozwa na Mjerumani, Romain Folz.
KLABU ya Yanga, Oktoba 13, 2025 ilimtambulisha Patrick Mabedi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo chini ya Mjerumani, Romain Folz. Mabedi ametua Yanga kuchukua nafasi ya Manu Rodriguez, aliyewasilisha barua…
Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi, Patrick Mabedi kuwa Kocha Msaidizi wa timu hiyo, akijiunga na benchi la ufundi la Wananchi akiwa na uzoefu mkubwa katika soka la Afrika. Mabedi, raia…
BAADA ya kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Zambia kuwania nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026, Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ itashuka dimbani leo Jumanne kucheza mechi ya kimataifa ya…