Category: MICHEZO

Bado Watatu – 48

“Sasa ni kitu gani kilichokufanya ujitokeze licha ya kujua kuwa umeua” “Nimejitokeza ili niwaeleze ukweli polisi. Nilikuwa ninajua kwamba polisi walikuwa hawajui kuwa watu waliokuwa wananyongwa walishahukumiwa kunyongwa ila walitoroshwa…