Bado Watatu – 45
Mzee alizipokea pesa hizo na kunishukuru. “Nitakapohitaji tena maelezo yako nitakufuata.” “Asante sana. Karibu na ninakukaribisha kwa mara nyinyine tena. Utakapohitaji kuja kwangu usisite, njoo tu.”
Mzee alizipokea pesa hizo na kunishukuru. “Nitakapohitaji tena maelezo yako nitakufuata.” “Asante sana. Karibu na ninakukaribisha kwa mara nyinyine tena. Utakapohitaji kuja kwangu usisite, njoo tu.”
Nikaingia katika kile chumba. Mwanga uliokuwemo ulikuwa hafifu sana kwa sababu chumba chenyewe hakikuwa na dirisha. Ukuta wake wa upande wa nje ulijengwa kwa matofali na sehemu ya dirisha ilizibwa…
Tulishirikiana kulifukua kaburi hilo hadi tukalipata sanduku lililokuwa ndani, ambalo lilikuwa limeshaoza lakini maiti iliyoanza kuharibika ilikuwemo ndani. Kitu ambacho kilitushitua ni kuwa kwenye dole gumba lake la mkono wa…
Alikwenda mbele ya kaburi hilo akachutama na kusoma kibao kilichowekwa mbele ya kaburi hilo ambacho kilikuwa na jina la marehemu. “Ndiyo hili hili. Jina lake limeandikwa hapa. Thomas Christopher,” akaniambia.
Afisa upelelezi aliponiuliza hivyo, tulicheka sote. “Ni kama hivyo, lakini huyu mtu inaonekana yupo, kwa sababu alama ya dole anayoiweka katika karatasi anazoziacha kwa marehemu ni yake.” “Kweli, huo ni…
“Nilikuwa nimepitiwa na usingizi…” Hamisa akajibu. “Samahani. Nilikupigia muda huu kwa kuhisi kuwa umeshatoka kazini.” “Bila samahani. Nililala ghafla tu, sijazima televisheni wala taa… Kwema huko?”
“Muuaji huyu hapa,” Inspekta huyo akatuambia. Siwezi kusimulia mshituko nilioupata. Raisa alikuwa ametahayari vibaya sana. Aliinua macho yake mara moja akatutazama. Macho yake yalipokutana na yangu akayarudisha chini haraka.
Kwa msaada wa polisi wa usalama barabarani pikipiki ilikamatwa mara moja. Ilikutwa katika kituo cha bodaboda cha Kwaminchi. Mwenye pikipiki ndiye huyu hapa niliyekuja naye. Sasa nataka na yeye mumsikilize.”…
Alinipeleka katika chumba kimoja ambako nilimkuta mume wangu Sufiani akiwa pamoja na askari niliyemfahamu kwa jina la Sajin Meja Robert. Polisi hao walikuwa wamepata ushahidi kuwa siku ile lilipotokea tukio...
Mshambulizi wa Paris Saint-Germain, raia wa Ufaransa, Ousmane Dembele, ameshinda tuzo ya Ballon d’Or 2025 usiku wa Jumatatu, akimshinda Lamine Yamal wa Barcelona (Mchezaji Bora Chipukizi). Tuzo hii ya kibinafsi…