Ousmane Dembélé na Aitana Bonmati washinda tuzo ya Ballon d’Or
Mshambulizi wa Paris Saint-Germain, raia wa Ufaransa, Ousmane Dembele, ameshinda tuzo ya Ballon d’Or 2025 usiku wa Jumatatu, akimshinda Lamine Yamal wa Barcelona (Mchezaji Bora Chipukizi). Tuzo hii ya kibinafsi…