Bado Watatu – 47
Alichelewa sana humo chumbani mpaka nikainuka na kumfuata. Nikamkuta bado akijitazama kwenye kioo. “Twenzetu, umeshapendeza,” nikamwambia. Alikuwa amevaa suruali ya jeans, t-shirt na viatu vya mchuchumio.
Alichelewa sana humo chumbani mpaka nikainuka na kumfuata. Nikamkuta bado akijitazama kwenye kioo. “Twenzetu, umeshapendeza,” nikamwambia. Alikuwa amevaa suruali ya jeans, t-shirt na viatu vya mchuchumio.
MABAHARIA wa KMKM, wamefanikiwa kuvuna Sh10.5 millioni kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), Azana Hassan Msingiri ikiwa sehemu ya kuipongeza timu hiyo kwa kuingia hatua ya…
MECHI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyochezwa leo Oktoba 1, 2025 kati ya JKU na KVZ kwenye Uwanja wa Mao A mjini Unguja, imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Nilipobisha mlango wa nyumba yake, Hamisa alikuja kunifungulia. Akanikaribisha ndani. “Karibu.” Sauti yake ilikuwa ya adabu na nidhamu. Niliomba Mungu asibadilike tena na kuwa chui.
Mzee alizipokea pesa hizo na kunishukuru. “Nitakapohitaji tena maelezo yako nitakufuata.” “Asante sana. Karibu na ninakukaribisha kwa mara nyinyine tena. Utakapohitaji kuja kwangu usisite, njoo tu.”
Nikaingia katika kile chumba. Mwanga uliokuwemo ulikuwa hafifu sana kwa sababu chumba chenyewe hakikuwa na dirisha. Ukuta wake wa upande wa nje ulijengwa kwa matofali na sehemu ya dirisha ilizibwa…
Tulishirikiana kulifukua kaburi hilo hadi tukalipata sanduku lililokuwa ndani, ambalo lilikuwa limeshaoza lakini maiti iliyoanza kuharibika ilikuwemo ndani. Kitu ambacho kilitushitua ni kuwa kwenye dole gumba lake la mkono wa…
Alikwenda mbele ya kaburi hilo akachutama na kusoma kibao kilichowekwa mbele ya kaburi hilo ambacho kilikuwa na jina la marehemu. “Ndiyo hili hili. Jina lake limeandikwa hapa. Thomas Christopher,” akaniambia.
Afisa upelelezi aliponiuliza hivyo, tulicheka sote. “Ni kama hivyo, lakini huyu mtu inaonekana yupo, kwa sababu alama ya dole anayoiweka katika karatasi anazoziacha kwa marehemu ni yake.” “Kweli, huo ni…
“Nilikuwa nimepitiwa na usingizi…” Hamisa akajibu. “Samahani. Nilikupigia muda huu kwa kuhisi kuwa umeshatoka kazini.” “Bila samahani. Nililala ghafla tu, sijazima televisheni wala taa… Kwema huko?”