KUTOKA GYMKHANA: “Hatujaweka jitihada ya kutosha kuhakikisha tunachukua ubingwa”
KUTOKA GYMKHANA: “Hatujaweka jitihada ya kutosha kuhakikisha tunachukua ubingwa” Rais wa Yanga SC, Hersi Said amuomba radhi Kocha Edna Lema wa Yanga Princess akisema kwamba wao kama uongozi, hawajaweka kipaombele…