Category: SPORTVTV

Bundesliga

Bundesliga Oktoba 18 katika dimba la Allianz Arena, Bayern Munich watawakaribisha Borussia Dortmund #DerKlassikerDerby Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:30 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD. #Bundesliga #BVB #FCB #Derklassiker

..

KUTOKA DUBAI: “Sisi tumekuwa wakubwa kiasi flani” Kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman Ali ‘Morocco’ amesema kwa sasa soka la Tanzania limekuwa na ndio maana imekuwa rahisi kwa Timu ya…