Michuano ya PFL Africa inazidi kushika kasi na sasa ni hatua ya nusu fainali kutafuta mabondia watakaofuzu hatua ya fainali
Michuano ya PFL Africa inazidi kushika kasi na sasa ni hatua ya nusu fainali kutafuta mabondia watakaofuzu hatua ya fainali. Ni Jumamosi hii jijini Kigali, Rwanda utapata kushuhudia jumla ya…
Photos from AzamSports’s post
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya ziara ya kukagua dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam, ambaopo kwa…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mtangazaji wa soka Ayubu Hinjo @hinjojr ausifu ubora wa nyota wa JKT Queens, Winfrida Gerald, ataja saba…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mtangazaji wa soka Ayubu Hinjo @hinjojr ausifu ubora wa nyota wa JKT Queens, Winfrida Gerald, ataja sababu zinazofanya nyota huyo kuonekana kuwa miongoni mwa wanaocheza faulo. Nyota huyo…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Ahmed Ally ‘alishangilia’ Yanga Princess kupoteza mchezo wa nusu fainali ya #NgaoYaJamii Alhamisi ya Okt…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Ahmed Ally ‘alishangilia’ Yanga Princess kupoteza mchezo wa nusu fainali ya #NgaoYaJamii Alhamisi ya Oktoba 9, 2025. Ally Kamwe ashngilia Simba Queens kupoteza mbele ya haohao JKT Queens…
NUNUA JEZI YA AZAM FC UPATE NYINGINE BURE: Tazama fulana (t’shirt) ambazo Azam FC wanagawa bure kama ukinunua jezi zao ‘orijino’
NUNUA JEZI YA AZAM FC UPATE NYINGINE BURE: Tazama fulana (t’shirt) ambazo Azam FC wanagawa bure kama ukinunua jezi zao ‘orijino’ Luqman Mshairi ‘achombweza’ na mashairi (Imeandikwa na @allymufti_tz) #AzamFC
UZI WA AZAM FC WATUA MAREKANI: “Kuna wakala wetu mmoja nadhani alishapeleka jezi mpaka Marekani”
UZI WA AZAM FC WATUA MAREKANI: “Kuna wakala wetu mmoja nadhani alishapeleka jezi mpaka Marekani” Katika mkakati wa kuikuza nembo ya Azam FC, Meneja Mauzo na Masoko wa timu hiyo…
VISIT TANZANIA KUTUA ULAYA: “Kuna kazi inayendelea ya kuweka udhamini kwenye moja ya klabu kubwa duniani barani Ulaya”
VISIT TANZANIA KUTUA ULAYA: “Kuna kazi inayendelea ya kuweka udhamini kwenye moja ya klabu kubwa duniani barani Ulaya” Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa…