Ufaransa-Senegal: Changamoto za mkutano kati ya Emmanuel Macron na Bassirou Diomaye Faye Paris
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atampokea mwenzake wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, katika Ikulu ya Élysée leo Jumatano, Agosti 27. Ziara hii ya kiserikali inatarajiwa kufunguwa ukurasa mpya ya uhusiano…