Iran yaapa kulipiza kisasi baada ya Australia kumfukuza balozi wake
Iran imeapa kuchukua hatua zinazofaa za kulipiza kisasi baada ya Australia kumfukuza balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini humo kwa madai ya “chuki dhidi ya Wayahudi,” na kusisitiza kwamba vitendo…