Pezeshkian amwambia Putin: Iran haijawahi kamwe kutaka kumiliki silaha za nyuklia
Rais Masoud Pezeshkian jana Jumatatu alizungumza kwa simu na Rais Vladimir Putin wa Russiai na kumweleza kuwa Tehran haijawahi kutaka kumiliki wala haitatafuta silaha za nyuklia, akisisitiza msimamo wa muda…