Israel yaanza hatua ya awali ya kushambulia mji wa Gaza
Israel imeingia katika hatua ya awali ya kushambulia mji wa Gaza siku ya Jumatano baada ya kuidhinisha mpango wa kuutwaa ambao ni pamoja na kuwaita askari 60,000 wa akiba kwa…
Israel imeingia katika hatua ya awali ya kushambulia mji wa Gaza siku ya Jumatano baada ya kuidhinisha mpango wa kuutwaa ambao ni pamoja na kuwaita askari 60,000 wa akiba kwa…
Israel imeidhinisha mradi mkubwa wa makazi katika eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na walowezi wa Kiyahudi, uamuzi ambao jumuiya ya kimataifa imeonya kuwa unatishia uhai wa taifa…
WT Articles za kina, habari kali, na viendelezi vya utiririkaji wa moja kwa moja (live) kama “LTV Live Leo usiku.”Ni programu ya habari kwa Kiswahili, ikitoa taarifa za kitaifa na…
ILIPOISHIA IJUMAA “Vipi kwani?” “Yule matawi ya juu sana, nimeshangaa kuona mnafahamiana tena mna ukaribu.” “Kawaida tu, yupo lakini?” “Kwani yeye amekuelekeza lini hapa” “Muda kidogo, ni kama miezi minne…
ILIPOISHIA JUMATANO “Sina uhakika na hili jambo.” “Usinitaje, mimi nimekuambia tu kama shoga yangu. Sisi wote ni wazazi.” “Sawa.” “Lakini jambo lingine linalowashtua zaidi watu ni tabia yake ya kujipenda…
MUITO wa simu iliyokuwa mezani ulimgutusha pale kitandani alipokuwa amelala, lakini aliipuuza. Simu kwa wakati ule haikuwa na maana kabisa kwake. Msichana mrembo Upendo, alikuwa kando yake, akionyesha kumhitaji sana…
ILIPOISHIA JUMATATU… Haraka mmoja wao akaingia ndani, hakukawia sana, tayari Ustaadhi Alii alikuwa ameshatoka nje, naye alikuwa anatweta. “Vipi Suma” “Mtihani Ustaadhi.” “Nini?” “Twende nyumbani.” Ustaadhi hakukaidi, wakatoka pamoja hadi…
MKATABA – 1 KICHAA cha moyo kilimpanda ghafla Suma. Ni mara ya tatu sasa anamwita msichana huyo lakini haoneshi dalili ya kumwitikia. Suma akazidi kuchanganyikiwa. Kwa nini haitikii? Akajiuliza mwenyewe…
Abiria na wafanyakazi wa ndege yenye chapa A380 ya shirika la ndege la Malaysia Airlines wamepata majeraha madogo baada ya ndege hiyo waliyokuwemo kupatwa na mtikisiko mkubwa. Imechapishwa: 06/06/2016 –…
Mashambulizi ya anga yaliyofanywa na vikosi vya Serikali kwenye mji wa Aleppo hii leo, yameua watu wanaokadiriwa kufikia 16, limesema shirika moja la waangalizi wa haki za binadamu. Imechapishwa: 05/06/2016…