Upinzani nchini Kenya kuendelea na maandamano ya kila Jumatatu
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Kenya, Josephu Boinett, ametoa onyo kali kwa viongozi wa muungano wa upinzani wa Cord dhidi ya maandamano yao waliyoapanga kuyafanya siku ya Jumatatu, June…