Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikish…
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama wakati wa uchaguzi mkuu. Amesema wananchi wanapaswa kwenda kupiga kura…