Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa daraja la Msangano lenye thamani ya shilingi bilioni tatu katika barabar…
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa daraja la Msangano lenye thamani ya shilingi bilioni tatu katika barabara ya Chindi–Msangano, Wilaya ya Momba, Songwe. Daraja hilo litaunganisha…