Mgombea urais kupitia CCM, Dkt
Mgombea urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake itaendeleza utalii Arusha kwa kuboresha miundombinu na kuongeza vivutio vipya, ikiwemo utalii wa michezo. Amesema ujenzi wa uwanja wa…
Mgombea urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake itaendeleza utalii Arusha kwa kuboresha miundombinu na kuongeza vivutio vipya, ikiwemo utalii wa michezo. Amesema ujenzi wa uwanja wa…
Kufuatia msiba wa mwana mazingira na mtafiti mbobezi wa uhusiano wa sokwe, binadamu na mazingira, Dkt. Jane Goodall ambaye utafiti wake zaidi ya miaka 50 kuhusu sokwe ulimpa heshima na…
Inaelezwa kuwa karne ya sasa, wanawake wengi huchelewa kuzaa kutokana na sababu mbalimbali kama masomo, kazi, biashara, na baadhi huanza kuzaa tu baada ya ndoa. Hali hii mara nyingine husababisha…
Ni ukweli wa wazi kuwa upendo na mshikamano kwenye familia huchangia kwa kiasi kikubwa sana mafanikio ya wana familia kiuchumi na kijamii. Lakini isivyo bahati, katika baadhi ya familia mafanikio…
Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama…
Kufuatia malalamiko ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kuhusu huduma zisizoridhisha za mabasi ya mwendokasi, Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza mabadiliko katika uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo…
Jamii nyingi duniani zinakabiliwa na tatizo la ukatili na hatua mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kupunguza matukio hayo. Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala, Joyce Maketa ameeleza aina za ukatili…
Wananchi wameeleza maoni yao baada ya mabasi mapya ya mwendokasi ya kampuni ya MOFAT kuanza kutoa huduma kwa abiria wanaosafiri kati ya Mbezi na Kimara, hatua iliyolenga kupunguza kero ya…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, ametoa rai kwa wananchi kutojihusisha na vitendo vya uharibifu wa miundombinu ya umma licha ya changamoto za usafiri zinazojitokeza,…