UNICEF yaonya: Watoto wamenasa kwenye janga la kutisha El Fasher, SudanUNICEF yaonya: Watoto wamenasa kwenye janga la kutisha El Fasher, Sudan



Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeonya juu ya janga kubwa la kuogofya linalowawajihi watoto walionasa mjini El-Fasher, makao makuu ya jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa Sudan.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *