Makala ya Afrika Wiki Hii
31.08.202531 Agosti 2025 Joto la kisiasa Tanzania linaendelea kupanda kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Rais anaetetea kiti chake, Samia Suluhu Hassan, haonekani kuwa na mtihani mkubwa sana kwa kuwa…
31.08.202531 Agosti 2025 Joto la kisiasa Tanzania linaendelea kupanda kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Rais anaetetea kiti chake, Samia Suluhu Hassan, haonekani kuwa na mtihani mkubwa sana kwa kuwa…
#HABARI: Wizara, Taasisi na Mashirika binafsi, zimetakiwa kutekeleza utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii kwa vitendo ili kuwa na jamii yenye uwezo wa ustahimilivu na yenye mchango wa kuleta…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 30, 2025 – WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU
Usipitwe na kipindi bora cha burudani HAWAVUMI LAKINI WAMO kila Jumamosi saa 4 Usiku hapa ITV #hawavumilakiniwamo #kulachumahicho #zomboko
Mauaji ya spika wa zamani wa Bunge Andriy Parubiy, mtu mashuhuri katika siasa za Ukraine, “yamepangwa kwa kina,” rais Volodymyr Zelensky amesema siku ya Jumamosi, Agosti 30. Imechapishwa: 30/08/2025 –…
Luteni Kelly Ondo, muhusika wa jaribio la mapinduzi dhidi ya rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo Ondimba mnamo Januari 7, 2019, ameachiliwa Jumamosi, Agosti 30. Alikuwa akizuiliwa katika Gereza…
Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Filippo Grandi, amewasili Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), siku ya Ijumaa, Agosti 29. Amewatembelea…
Mkutano wa 25 wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai utafanyika katika mji wa Tianjin nchini China, siku ya Jumapili, Agosti 31 na Jumatatu, Septemba 1. Hii ni fursa nzuri kwa…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya ‘Selfie’ na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa…
#HABARI: Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Bw. Vicent Minja, ameipongeza Shule ya Sekondari ya Wasichana ya John The Baptist Schools iliyoko Boko Basihaya jijini Dar…