đź”´CHAN 2024: HAPATOSHI MSHINDI WA TATU CHAN SUDAN VS SENEGAL
đź”´CHAN 2024: HAPATOSHI MSHINDI WA TATU CHAN SUDAN VS SENEGAL…. AGOSTI 29, 2025
đź”´CHAN 2024: HAPATOSHI MSHINDI WA TATU CHAN SUDAN VS SENEGAL…. AGOSTI 29, 2025
Miaka minane baada ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Mynmar kulazimika kuhama katika Jimbo la Rakhine, Umoja wa Mataifa umesema kuwa mzozo unaowakabili raia hao umezidi kuwa mbaya. BONYEZA…
Russia imetangaza habari ya kutekeleza mashambulizi ya masafa marefu dhidi ya shabaha za jeshi la Ukraine, kwa kutumia aina mbalimbali za silaha, yakiwemo makombora ya hypersonic aina ya Kinzhal. BONYEZA…
Chanzo cha picha, Getty Images Saa 1 iliyopita Wakati Hermann Rothman, Myahudi Mjerumani anayefanya kazi katika shirika la ujasusi la Uingereza, alipoamka asubuhi ya 1945, hakujua jinsi ujumbe wake ulikuwa…
Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeonya juu ya janga kubwa la kuogofya linalowawajihi watoto walionasa mjini El-Fasher, makao makuu ya jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa…
#HABARI: Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne wameuawa,…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imemhukumu Salumu Moshi Mkumbwa (20), mkulima wa Mtanda, Manispaa ya Lindi, kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka mwanafunzi wa…
đź”´KUMEKUCHA KISHINDO: FURSA ZA UBUNIFU, AGOSTI 29, 2025
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
đź”´HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 29, 2025
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani vikali hatua ya polisi ya Nigeria kumkata kiongozi wa Jumuiya ya Wapalestina katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, Ramzy Abu Ibrahim, ikisisitiza kuwa kukamatwa…
Chanzo cha picha, Global Publishers Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Sammy Awami Nafasi, Saa 2 zilizopita Agosti 29, 2025 Mahakama kuu kanda ya Manyara imefuta amri ya Msajili wa Vyama…
Rais Masoud Pezeshkian amewataka mabalozi wapya walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu katika nchi za Madagascar na Croatia kuimarisha uhusiano wa pande mbili baina ya Iran na nchi hizi…
đź”´KUMEKUCHA MICHEZO: NANI MBABE KUIBUKA CHAN?…AGOSTI 25, 2025
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali uamuzi uliochukuliwa na Ufaransa, Ujerumani na Uingereza siku ya Alkhamisi wa kuanzisha utaratibu wa “snapback” wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa…
Akizungumza Alhamisi na waandishi habari, Guterres amesema maelfu ya raia wa Gaza watalazimika kukimbia tena, na kuzitumbukiza familia katika hatari kubwa zaidi. Amerudia wito wake wa kusitishwa mapigano mara moja,…
Akizungumza Alhamisi na waandishi habari, Guterres amesema maelfu ya raia wa Gaza watalazimika kukimbia tena, na kuzitumbukiza familia katika hatari kubwa zaidi. Amerudia wito wake wa kusitishwa mapigano mara moja,…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
đź”´KUMEKUCHA:.TANZANIA NA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI…AGOSTI 29, 2025
Akizungumza Alhamisi na waandishi habari, Guterres amesema maelfu ya raia wa Gaza watalazimika kukimbia tena, na kuzitumbukiza familia katika hatari kubwa zaidi. Amerudia wito wake wa kusitishwa mapigano mara moja,…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema hatua ya Marekani ya kutumia turufu dhidi maazimio ya Umoja wa Mataifa “inaifanya kuwa mshiriki” wa jinai za utawala wa Israel…
Akilihutubia taifa kwa njia ya video Alhamisi usiku, Zelensky amesema licha ya madai ya kuwa tayari kwa mazungumzo, malengo ya Urusi kuhusu vita hayajabadilika. Maafisa wamesema mashambulizi hayo makubwa ya…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Kobbie Mainoo Dakika 11 zilizopita Kobbie Mainoo ameiambia Manchester United anataka kuondoka kwa mkopo kutafuta nafasi ya kucheza mara kwa mara, lakini…
đź”´MAGAZETI: AHADI SIKU 100 ZA SAMIA.AGOSTI 29, 2025
Pongezi hizo amezitoa Alhamisi wakati akimkaribisha Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz nchini humo. Macron amesema baada ya miaka mingi ya uhusiano mbaya na Kansela wa zamani Olaf Scholz, kuanza upya…
Shirika hilo lilisema Alhamisi kwamba hali hiyo itachangiwa na uhaba uliosababishwa na kupunguzwa misaada. Yvonne Arunga, Mkurugenzi wa Save the Children katika eneo la Mashariki na Kusini mwa Afrika, amesema…
Katika barua yake aliyomuandikia mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas, Araqchi amesisitiza utayari na nia thabiti ya Iran kuanza tena mazungumzo ya kidiplomasia ya haki…
Leo ni Ijumaa tarehe 5 Mfunguo Sita Rabiul Awwal, mwaka 1447 Hijria, inayosadifiana na tarehe 29 Agosti mwaka 2028. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Chanzo cha picha, Getty Images Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23…
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 29, 2025
Kurejea malori yanayoegeshwa hifadhi ya barabara za Dar es Salaam. Je, Operesheni iliyofanyika kuyaondoa ilikua nguvu ya soda?
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameeleza kuwa watu zaidi ya 15,600 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo watoto 3,800, wanahitaji kuondolewa haraka katika eneo hilo lililokumbwa na vita…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi ametahadharisha kuwa kuwepo njozi za “Israel Kubwa” kunawakilisha hatari na tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia. Araqchi amezitolea wito…
DIRA.BZ29.08.202529 Agosti 2025 Jeshi la Israel limeanza oparesheni kubwa za kijeshi pembezoni mwa mji wa Gaza+++Kesho dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya waathirika wa matukio ya kutoweka na utekaji+++Ligi kuu…
29.08.202529 Agosti 2025 Israel bado inaendeleza mashambulizi Gaza huku kukiwa na hofu ya kutokea janga la kiutu // Vikwazo vya kibiashara vilivyowekwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi ya…
29.08.202529 Agosti 2025 Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Israel kujizuia kuuteka na kuudhibiti Mji wa Gaza // Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema mashambulizi makubwa ya anga ya Urusi…
Katika shambulio lake la Ijumaa usiku Yemen ilifanyia majaribio kwa mafanikio kombora jipya dhidi ya adui Mzayuni, jambo ambalo lilizifurahisha sana kamati za muqawama wa Palestina na kuzifanya ziwashukuru watu…
Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah huku akisisitiza kuwa, uamuzi wa serikali ya Lebanon wa kuupokonya silaha muqawama ni uamuzi usio wa kisheria wala halali amesema: Muqawama ni utamaduni…
Maafisa wa utawala wa Kizayuni wamekiri kwamba utawala huo hauna uwezo wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora ya muqawama wa Yemen, ambayo yanalenga kwa usahihi mkubwa shabaha zilizoko katika ardhi…
#MALUMBANOYAHOJA: “Kwanza wananchi wanatakiwa kujua mgombea bora ni yupi ni kwatika hawa wanaogombea nani anafaa…”
#MALUMBANOYAHOJA: “Hoja ambayo nimeipenda sana na imenivutia sana ni kuanzishwa kwa bima kwa wazee Watoto na watu walemavu…”
#MALUMBANOYAHOJA: “Wagombea naomba Zaidi wajikite chini kwa wananchi ambao tuna hali ya chini sana…”
#MALUMBANOYAHOJA: “Ninacho kitarajia kwanza kabisa ni maendeleo na kukua kwa siasa bora Tanzania…”
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 28, AGOSTI 2025
Dunia imeshuhudia karibu miezi 23 ya mauaji ya wazi dhidi ya watu wa Palestina yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Malaysia amesema kuwa, nchi hiyo itadhibiti na kusimamia vilivyo vitisho au ugaidi wowote unaohusiana na suala la uungaji mkono wa Kuala Lumpur kwa…
Waziri wa mambo ya nje wa Venezuela ameishukuru Iran kwa msimamo wake thabiti wa kuunga mkono taif hilo a la Amerika ya Kusini mbele ya vitisho vya uchokozi vinavyotolewa na…
đź”´ MALUMBANOYAHOJA:KUANZA RASMI KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2025. JE, NINI MATARAJIO YA WANANCHI?
Mshambuliaji aliyefyatulia risasi kanisa katika skuli ya kikatoliki kusini mwa mji wa Minneapolis nchini Marekani jana Jumatano na kuua na kujeruhi watu kadhaa ametambuliwa na gazeti la The New York…