#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo kimefanya Uzinduzi wa Kampeni za Urais , Ubunge na Udiwani Visiwani Zanzibar, ambapo Mgombea Ur…#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo kimefanya Uzinduzi wa Kampeni za Urais , Ubunge na Udiwani Visiwani Zanzibar, ambapo Mgombea Ur…

#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo kimefanya Uzinduzi wa Kampeni za Urais , Ubunge na Udiwani Visiwani Zanzibar, ambapo Mgombea Urais kisiwani humo Othman Masoud Othman ambaye pia Makamu wa Kwanza wa Rais, alinadi sera zake mbele ya Wananchi na wanachama waliojitokeza

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025
Send a message to learn more

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *