Ruhusa yakuendelea kwa shughuli za uvuvi Ziwa Ikimba baada ya kufungwa kwa miezi sita ili kukuza vifaranga vya samaki. Je ziendane na mikakati ya kuufanya uvuvi wake kuwa endelevu?
#SwaliLaKipimaJoto #14Agust2025
Ruhusa yakuendelea kwa shughuli za uvuvi Ziwa Ikimba baada ya kufungwa kwa miezi sita ili kukuza vifaranga vya samaki Ruhusa yakuendelea kwa shughuli za uvuvi Ziwa Ikimba baada ya kufungwa kwa miezi sita ili kukuza vifaranga vya samaki. Je ziendane na mikakati ya kuufanya uvuvi wake kuwa endelevu?
#SwaliLaKipimaJoto #14Agust2025