#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini, kupitia tiketi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Masanja Kadogosa, ameahidi kuleta mabadaliko katika sekta ya elimu hasa kwa watoto wa jamii ya wafugaji na wakulima ikiwa lengo la uwekezaji huo ni kupata viongozi wakubwa watakaosaidia taifa kuleta maendeleo.

Bw.Masanja ametoa ahadi katika Kijiji cha Gilya na Ikinabushu vilivyopo ata ya Gilya wilayani Bariadi mkoani Simiyu kwenye kampeni zake zinazoendelea Jimboni humo za kuomba ridhaa kwa wananchi ya kuchaguliwa kuongoza jimbo hilo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *