#HABARI: Timu Madaktari Bingwa wa Upasuaji, magonjwa ya ndani pamoja na magonjwa ya kinamama kutoka Wizara ya Afya, imepiga kambi mkoani Manyara kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa na za kibobezi kwa wananchi ili kuwaondolea adha ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hizo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.