#HABARI: Rais wa Shirikisho la Soka Nchini Tanzania (TFF) Wallace Karia ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji CAF, amefurahishwa na mwenendo wa uongozi wa Patrice Motsepe kwa kuongeza thamani ya mashindano ya Afrika kwa kuongeza fedha kwenye mashindano hayo.
Wallace Karia amezungumza na @khalidmsabaha_ kwenye kipindi cha Spoti leo @radioonetanzania
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.