“Tuna mipango ya kuuza Umeme nje ya nchi, nataka niwatie moyo Watanzania kwamba kwakweli kwa mara ya kwanza serikali yetu imefanya jambo kubwa sana, uwekezaji mkubwa wa Karibu trilioni 7 za mradi ule wa Julius Nyerere” Eng. Felchesmi Mramba – Katibu Mkuu Wizara ya Nishati.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.