#HABARI: Wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, anayetarajiwa kuwasili Jijini Mwanza Jumanne Oktoba 7, 2025, kwa ajili ya kuanza mikutano ya kampeni.
Rai hiyo imetolewa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, alipokuwa akizungumza na Wafanyabiashara na wananchi katika Soko Kuu la Mwanza.
Makonda amewataka wakazi wa Mwanza na mikoa jirani kuonesha mapokezi ya kipekee kwa Dk.Samia, akisisitiza kuwa ujio wake unalenga kuzungumza na wananchi kuhusu dira ya maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Sita na mikakati ya kuendeleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi chake cha uongozi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.