Wewe ni mfanyabiashara wa sanaa bunifu na bado haujajisajili katika Baraza la Sanaa Tanzania Unapitwa na mengi, ili kuikuza biashara yako na kuipa thamani kama anavyotueleza Afisa Sanaa na Mkuu wa Dawati la Usajili kutoka BASATA, Gabriel Awe.
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates