#HABAI: Makada wa Chama cha Mapinduzi waliowahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza, wameonyesha kuridhishwa na utendaji kazi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Wanasema wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza wana imani na Dkt. Samia na wanafurahia miradi aliyoitekeleza, hivyo watapiga kura kwa uaminifu kumchagua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.