#HABARI: Katika wiki ya huduma kwa wateja TANESCO, mkoani Singida, wameunga mkono juhudi za serikali za utunzaji wa mazingira, kwa kutoa vizolea taka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Misuna mkoni Singida, ikiwa ni njia mojawapo ya kuhakikisha mazingira yana tunzwa na kuwa safi. Vizolea taka hivyo vimetolewa na Mhandisi wa Afya na Usalama TANESCO Mkoa wa Singida, Mhandisi Nyerere Ernes, kwa niaba ya Meneja wa TANESCO Mkoa wa Singida.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *