Hamis Abdallah, mkazi wa Babati amehukumiwa kifungo cha miaka sita na faini ya shilingi milioni moja kwa kosa la kumkata masikio yote mawili, kumchanja kifuani na kumbamiza kichwa ukutani mtoto wa jirani yake mwenye umri wa miaka 13.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi