Mgombea urais wa UPDP, Twalib Kadege amendelea na kampeni zake licha ya mvua, akiwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 ili kutumia haki yao ya kimsingi ya kikatiba.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *