#HABARI: Kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Daudi Ntuyehabi, Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) imesitisha shughuli za kampeni za ubunge katika jimbo hilo hadi maelekezo mengine yatakapotolewa.
Ntuyehabi, alifariki dunia Oktoba 7, 2025 baada ya kushambuliwa na kundi la watu zaidi ya nane wakimtuhumu kuhusika na tukio la kumjeruhi kijana mmoja wakati alipokwenda kuamua ugomvi wa mgombea huyo na mtu mwingine ambaye walikuwa wakidaiana fedha kwenye ‘grocery’ ya vinjwaji baridi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.