#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Bunda vijijini kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Maxmilian Madoro, ameahidi kuifanya Nyamuswa kuwa mamlaka ya mji mdogo ndani ya mwezi mmoja tu baada ya kushinda ubunge, na kuwalipa posho wenyeviti wa vijiji kila mwezi huku akiahidi kuweka katibu wa mbunge kila kata ili waweze kufuatilia maendeleo ya wananchi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *