Afisa huduma kwa wateja wa AzamTV Max, Sostenes Nkoba amesema kutokana na mabadiliko yaliyofanyika, mteja anaweza kuunganisha watu wengine zaidi kwa kutumia akaunti yake ya AzamTV Max.

AzamTV Max inaungana na kampuni nyingine duniani katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, ambapo leo wamezungumza mambo mbalimbali kupitia kipindi cha #MorningTrumpet, mahojiano ambayo yanapatikana kwa urefu kwenye chaneli ya YouTube ya #UTVTanzania

✍Nifa Omary
Mhariri | @abuuyusuftz

#AzamTVUpdates #MorningTrumpet #UTV108

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *