..

KUTOKA DUBAI: “Sisi tumekuwa wakubwa kiasi flani”
Kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman Ali ‘Morocco’ amesema kwa sasa soka la Tanzania limekuwa na ndio maana imekuwa rahisi kwa Timu ya Taifa kupata mechi za kirafiki na nchi ambazo zimeendelea kwenye soka duniani.

Morocco amesema mechi hiyo ni muhimu kwa Stars na ina faida nyingi ikiwemo kuongeza viwango vya FIFA na wachezaji kupata uzoefu.

Kwa upande wa nahodha Bakari Mwamnyeto, amesema wanacheza na timu kubwa na kesho wanataka wakauone huo ukubwa wao wakiwa uwanjani.

Mechi hiyo ya kirafiki itapigwa saa 12:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#TaifaStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *