#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Chrispin Chalamila, amekabidhi msaada wa mashine maalum mbili za kutunzia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati, katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Mjini Songea kwa lengo la kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.