Mgombea Urais kupitia chama cha ADC, Wilson Mulumbe ameahidi kuweka sawa mgawanyo wa rasilimali za taifa bila upendeleo ili kila mwananchi aweze kunufaika.
Mulumbe ametoa ahadi hiyo mkoani Tabora katika mkutano wake wa kampeni kama anavyosimulia Juma Kapipi.
#AzamTVUpdates
Mhariri |@moseskwindi