Rais wa Zanzibar na mgombea wa nafasi hiyo kwa muhula ya pili ameahidi kuwalipa fidia wananchi wa jimbo la Dimani watakaothibitika kuwa walipokea kiwango kidogo cha stahiki zao kupisha miradi ya maendeleo iliyotekelezwa kwenye maeneo yao.

Mwinyi ameomba ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar ili aunde kamati ya kuhakiki fidia hizo ili wananchi hao wapate wanachostahili.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *