Watanzania wametakiwa kutoandamana tarehe 29 Oktoba na badala yake wajitokeze kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu ili kuwachagua viongozi wapya na kuiondoa CCM kwenye hatamu za uongozi.
Wito huo umetolewa na mgombea Urais kutoka Chama Cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo katika kampeni zake zinazoendelea mkoani Mbeya.
#AzamTVUpdates
Mhariri |@moseskwindi