#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Kakonko, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Alan Thomas Mvano, ameiomba serikali kuhakikisha inajenga Barabara ya kuelekea soko la mpakani Muhange kwa kiwango cha lami, ili kuunganisha wafanyabiashara kutoka nchi Jirani ya Burundi kwa lengo la kukuza Uchumi akiorodhesha mambo mengine matatu kwa ustawi wa Wilaya hiyo na watu wake.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *